Mtaishia kuifunga Mecco ya mwaka 1990 MbeyaTRANSFER NEWS LIVE[emoji599]Budo Mutale is here to stay[emoji419]
Niko hapa kuthibitisha kwamba Simba wataendelea kubaki na Budo Mutale msimu ujao.
Baada ya kuwaka mwishoni mwa msimu Simba wameamuwa kubaki na Mutale.
@usajili_na_hansrafael14
Wale mlitegemea mutale aondoke ....labda muanze nyie[emoji23][emoji23]View attachment 3400399
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe wasemaMtaishia kuifunga Mecco ya mwaka 1990 Mbeya
Inasikitisha mkuuMtaishia kuifunga Mecco ya mwaka 1990 Mbeya
MadnessUna hela au budget ya kusajili a performer au unaongea tu? Hivi wakati unakuwa, Baba yako kila siku analeta Kabejii, unafikiri alikuwa hajui nyama zilipo ?
Lawama zitaenda kw GSM na mangunguKupanga ni kuchagua. Sasa kama wao wameamua wenyewe kuwa wasindikizaji sisi tufanyaje. Wenzao utopolo wameamua kufunga "booster" pale mbele (Sowah, Ecua, Mzize, Maxi, Dube na kuna uwezekano mguu wa jini akarudi) wao makolo bado wamelala halafu baadae visingizio kibao sijui udhamini wa timu nane, bahasha, n.k.
Saizi wamemgeukia mangungu [emoji23]Halafu mwisho wa siku waseme GSM anaharibu ligi