Simba kuanzia hatua ya makundi klabu bingwa Afrika

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,724
BREAKING NEWS:

Shirikisho la CAF limesema, Simba itaanzia moja kwa moja hatua ya makundi ya klabu bingwa. Aidha afisa habari wa CAF Bw Junior Binyam amesema timu ya UD Songo ya Msumbiji iliyokua imepangwa kucheza na Simba sasa itacheza na timu ya Horoya ya Guinea.
 
Never
 
Yote kheri.
Simba Nguvu Moja.
 
Shirikisho la CAF ni kitu gani hicho?
 
BREAKING NEWS:

Shirikisho la CAF limesema, Simba itaanzia moja kwa moja hatua ya makundi ya klabu bingwa. Aidha afisa habari wa CAF Bw Junior Binyam amesema timu ya UD Songo ya Msumbiji iliyokua imepangwa kucheza na Simba sasa itacheza na timu ya Horoya ya Guinea.
Weka chanzo acha kujitekenya mwenyewe
 
Back
Top Bottom