mkuu saint
ile mechi ya kigali nilifanikiwa kuiona ukweli halisi awataki kusema
simba alikuwa ashine ile mechi kiyovu sio wazuri kihivyo....kipindi cha pili jamaa walijiamini sana sana
ukiangalia utaoona kipindi cha pili akukuwa na umuhimu wa kumwacha mafisango aendelee kucheza wala sunzu..matokeo yake sub ya kocha ndio iliowaumiza simba walikuwa kama wamelogwa akawatoa watu waliokuwa wanacheza vizuri nakuwaingiza mabomu mwisho wa siku ukiunganisha na wakina sunzu waliochoka na mafisadngo aliekuwa kama kamwagiwa maji ya ffu anavyotulia sehemu mmoja waakanza kuwaonyessha mpira ndipo goli lapili likaja
sisemi vibaya nawaombea kila la kheri ingawa ntawaangalia kwenye runinga niko nkoani kidogo ukweli
kama watachemsha kwenye kufanay sub hakika kiyovu mtatoka sare hata ya mbilimbili na mwisho kuungana na kandambiili..pamoja na hayo wachezaji wa simba lazima wajue jinsi ya kujituma wachezaji wengi awataki kujituma mtaona wanaposhinda wanakuwa kama mabwege hiyo hali inatakiwa kubadilika kwa kila wachezaji wa tanzania na sio simba tu
Myama afe tu! Inanikumbusha kitabu cha zama primary meli ilikuwa inazama mtu mmoja akawa anasema kwa kiruga ambacho sijui tafsiri, "omusoke omusoke,twahwelela", ndivyo simba watakavyolia leo! Nawahi bar!