Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,304
- 2,152
Yaani hapo badooo..!! yaani mpaka mthemeeeeeeeeeee..!!!Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena.
Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana tumewawekea tayari mazingira mazuri ya hatua inayofuata(nusu fainali).
Tukirejea hapa nyumbani kwasababu timu yetu imekuwa na siasa nyingi badala ya soka nitoe Rai mapema najuwa baada ya marudiano kule Misri tutaingia kwenye mtifuano wa kutafutwa mchawi wakati wanaotukwamisha wanajulikana.
Sa ni bora wanaotakiwa kutupiwa lawama au waliotufikisha hapa(Viongozi) wanaosajili watimuliwe mapema kwani wakiachwa msimu ujao wataenda kurudia haya haya ya kushindwa kutafuta vipaji vya mpira na kwenda kuokoteza wachezaji wa bei rahisi.
Hao Viongozi nawashanga wanapo kuwa wanajilinganisha na levo za Mamelod au Al Ahaly wakati wao hawana siasa na ujanja janja kwenye soka.Unakuta kiongozi anazungumzia kuhusu nusu fainali utafikiri anakutana na timu za hapa nyumbani kumbe anakutana na watu walio siriazi.
Anayehusika na scouting ya wacheji aondoke(atimuliwe) akatafute timu nyingine ya kuifanyia siasa.Na Viongozi wanao tajwa kwenye kuifanya Simba iwe timu ya propaganda nao wangeanza kutafuta shunguli nyingine ya kufanya.
Simba matatizo yenu ni mengi, tatizo la kwanza pia ni wanachama njaa, Hawa wanachama njaa ni wale wanaofaidika na uongozi uliopo madarakani, wanalipwa posho za safari, wanapewa jezi kuuza, wanaishi kwa kutegemea viongozi waliopo pale na Hawa ndio watetezi wakubwa wa viongozi kwenye vyombo vya habari na timu kiujumla maana wanajua mlo wao uko kwao ivyo mnatakiwa nguvu kubwa kuwaondoa kina mangungu na bwana jaribu Tena vinginevyo mtaendelea kulia na kusaga meno miaka yote!Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena.
Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana tumewawekea tayari mazingira mazuri ya hatua inayofuata(nusu fainali).
Tukirejea hapa nyumbani kwasababu timu yetu imekuwa na siasa nyingi badala ya soka nitoe Rai mapema najuwa baada ya marudiano kule Misri tutaingia kwenye mtifuano wa kutafutwa mchawi wakati wanaotukwamisha wanajulikana.
Sa ni bora wanaotakiwa kutupiwa lawama au waliotufikisha hapa(Viongozi) wanaosajili watimuliwe mapema kwani wakiachwa msimu ujao wataenda kurudia haya haya ya kushindwa kutafuta vipaji vya mpira na kwenda kuokoteza wachezaji wa bei rahisi.
Hao Viongozi nawashanga wanapo kuwa wanajilinganisha na levo za Mamelod au Al Ahaly wakati wao hawana siasa na ujanja janja kwenye soka.Unakuta kiongozi anazungumzia kuhusu nusu fainali utafikiri anakutana na timu za hapa nyumbani kumbe anakutana na watu walio siriazi.
Anayehusika na scouting ya wacheji aondoke(atimuliwe) akatafute timu nyingine ya kuifanyia siasa.Na Viongozi wanao tajwa kwenye kuifanya Simba iwe timu ya propaganda nao wangeanza kutafuta shunguli nyingine ya kufanya.
Kabisa
Mkuu hata hueleweki. Mahubiri ya achaneni na mpira ila kila nyuzi ya soka upo.Binafsi tukiwa ana Akina senzo simba, Nilipigania sana mambo makuu matatu ambayo ni
1. Uwekezaji.
2. Uongozi.
3. Wachezaji.
Viongozi Wakaona sisi ni viazi leo wanaabika Punbafu zao
Ulie na kusaka meno kwa sababu ipi? Kwani shabiki analipwa Tsh ngapi kuwa akiacha kuifuatilia timu atalala njaa.? Hii ni burudani tu.Simba matatizo yenu ni mengi, tatizo la kwanza pia ni wanachama njaa, Hawa wanachama njaa ni wale wanaofaidika na uongozi uliopo madarakani, wanalipwa posho za safari, wanapewa jezi kuuza, wanaishi kwa kutegemea viongozi waliopo pale na Hawa ndio watetezi wakubwa wa viongozi kwenye vyombo vya habari na timu kiujumla maana wanajua mlo wao uko kwao ivyo mnatakiwa nguvu kubwa kuwaondoa kina mangungu na bwana jaribu Tena vinginevyo mtaendelea kulia na kusaga meno miaka yote!
Kumbe ndio maana unasumbua humu kwa hasira.Binafsi tukiwa ana Akina senzo simba, Nilipigania sana mambo makuu matatu ambayo ni
1. Uwekezaji.
2. Uongozi.
3. Wachezaji.
Viongozi Wakaona sisi ni viazi leo wanaabika Punbafu zao