Nami nawapongeza sana Simba kiujumla kwa ushirikiano walioonyesha kuanzia kocha na wachezaji wote kwa kupata ushindi wakiwa pungufu, Asante sana Kichuya na Mkude kwa kuleta mabadiliko makubwa baada ya kufanya substution na kuzaa matunda yasiyokuwa na kifani kwa kwa siku ya leo.
Yanga wanamoira wa janja janja, hasa kununua mechi na vitimu vidogovidogo, lakin kwenye upande wa soka wakubali hawana kabisa, hii ni mara ya pili simba wakicheza pungufu na gori linarudi, vijan bado wanapiga lingine, Yanga kweli?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.