Anashangaa kuachwa salama...Sasa huyo pundamilia nae anataka au amesahau kwamba yeye ni chakula anatakiwa akimbie?
Anapiga chabo! Fahari ya macho [emoji102]
Anashangaa kuachwa salama...
Simba atamaliza njaa aina zoteAkimaliza tu atajuta kushuhudia hilo tukio.
Jamaa amekenua meno ila naona bibie kama amemaindi flani hivi, sijui tatizo nini hapo..
Kwel sio kila time chakula tu.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Aisee!! Hii kitu acha kabisa haina mbabe wala mnyonge