kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,252
- 16,171
Kuna watu wanafurahia na kusema kuwa Simba ina mashabiki wengi sana South Afrika kuliko Stellenbosch; hivyo kuwa kama sababu ya Simba kufanya vizuri kule dhidi ya Stelle
Simba walifanya vitu vingi sana nyumbani ikiwemo uwepo wa mashabiki wengi uwanjani lakini waliambulia goli moja tu. Hii inaonyesha kuwa kuwa na mashabiki wengi uwanjani halikuwa tatizo kubwa sana kwa Stellenbosch.
Je, kama Stellenbosch wakiwafanyia japo nusu tu ya mambo waliofanyiwa na Simba kule kwao Simba watatoboa? Nguvu ya simba kule itakuwa iko sehemu ipi?