Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,412
- 283,619
- Thread starter
-
- #41
Baada ya hayo yote yeye mwenyewe MO kavuna kiasi gani kutoka Simba ?Toka Dewj achukie Timu:
1) VPL 3 mfululizo
2) Ngao 2
3) FA 1
Niambie kabla ya Dewj Simba ilikaa miaka mingapi bila ya kifanya hiyo jeuri?
Ni Miaka mingapi tulikaa tukiwaona Yanga wakicheza mechi za kimataifa sisi tunaishia Nyumbani mpaka wao wakajiita wa Kimataifa sisi wakatuita Wamchangani?
Tafuta hela aacha Wivu wa Kisenge kwa Mwanume mwenzako?
Wewe na Fanboys wenzako wa Kilomoni hamuna uwezo wa kushindana na Dewj kumtoa Simba wakati hamuna uwezo hata wa kuichangia Simba kwa kununua Jezi Original musijisumbue.
As long as Wachezaji hawalalamikii mishahara na Makombe tunabeba basi kila la kheri Mo Dewj endelea kubakia Simba.
Nakushauri: Tafuta hela kwanza, ukishazipata ndiyo kamtoe Dewj pale kwa hela ili uichukue Timu na wewe ndiyo uwe Mfadhili utoe hizo bilioni 20.
Ndugu Huwezi kuwa kapuku ikisha unataka ushindane na Dewj, Dewji hashindaniwi kwa Vijembe na Mipasho Bali kwa hela. Weka hela pambana na Dewj, Lakini unaleta mipasho ikisha unataka usikilizwe? Serious?
Yani Wivu wako kwa Dewj ni sawa na uchawi utakuuwa Bure.
Yaani vichwa vyenu sijui vina nini !"Pesa sio makalio,kila MTU anayo" Eddo Kumwembe
Tuache uswahili wacha waendeshe timu kama unaweza ichukue ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Uswahili unatusumbua sana, simba ya miaka ile sio hii ya leo, mataji unayoona Kuna watu pesa zao zinatoka pale ww ukiulizwa umetoa ngp, holaaa so tuache hayo kama unaona unaibiwa vaa viatu vya unaodhan wanaokubiaYaani vichwa vyenu sijui vina nini !
umesoma uzi huu ukaelewa ? halafu aliyekudanganya kwamba MO anaigharamia Simba kwa hasara ni nani ?Uswahili unatusumbua sana, simba ya miaka ile sio hii ya leo, mataji unayoona Kuna watu pesa zao zinatoka pale ww ukiulizwa umetoa ngp, holaaa so tuache hayo kama unaona unaibiwa vaa viatu vya unaodhan wanaokubia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kwamba kapuku hana thamani, lakini wakati mwingine umasikini tunajitakia tu , kwa umati wa wanachama na wapenzi wa simba nchi nzima timu hii haistahili kuitwa masikini, kama tutapata oganaiza mzuri mwenye ujuzi na mfia Simba, basi timu hii itaweza kujikimu na hivyo kuondokana na dhiki inayolazimika timu yetu kutumika hata kwenye mambo yasiyostahili kwa vile tu anayeitwa mwenye Simba yake anatumika.
Simba si timu ya kucheza bure , ambapo pamoja na kutangaza bure bado ikakosa watazamaji, hili ililofanyiwa timu ya simba ni aibu inayotufanya sisi wanasimba wengine tuinamishe vichwa chini kwa aibu, mara kadhaa nimejipambanua humu kupinga magumashi kwenye uendeshaji wa timu lakini nimeishia kubezwa na kutukanwa, bali sasa uvumilivu umefika kikomo, Simba irudishwe kwa wenyewe.
Naunga mkono hoja Mkuu huyo Dewji anataka kuitumia Simba kwa manufaa yake binafsi kisiasa pia kifedha aliahidi atatoa bilioni 20 lakini kauli zake kuhusu hiyo bilioni 20 hazieleweki. Halafu nasikia ana own 49% ya timu je ni nani aliyefanya hiyo tathmini ya timu? Je, hizo 49% za shares alizonunua kalipa kiasi gani? Tuliamshe ili hizo namba ziwekwe hadharani hawa wadosi si watu wa kuwaamini hata chembe Mkuu naona kuna kila dalili ya UTAPELI.
Kama wewe si utopolo basi utakuwa mwanga mkubwa sana.
Simba iko vizuri sasa hivi na hizo B.20 unataka ziwekwe wapi kama sio uwekezaji katika usajili,kuendesha timu,na kujenga miundo mbinu kama sehemu ya kufanyia mazoezi?
unafiki wangu ni upi kwenye hili ?Mnafiki mkubwa wewe
DaaaahEndelea kusubiri hapo hapo simba kurudishwa kwa wenyewe, kichwa chako kibovu una relate kila kitu na siasa, siasa imekuharibu kichwa jitathimini na jitafakari
Yaani mbumbumbu dahSasa kama mshauri wenu mwandamizi ni Bashite na manara unategemea msidhalilike kweliView attachment 1555456
Sio mo hapo ni TFF uwe unaulizaToka Dewj achukie Timu:
1) VPL 3 mfululizo
2) Ngao 2
3) FA 1
Niambie kabla ya Dewj Simba ilikaa miaka mingapi bila ya kifanya hiyo jeuri?
Ni Miaka mingapi tulikaa tukiwaona Yanga wakicheza mechi za kimataifa sisi tunaishia Nyumbani mpaka wao wakajiita wa Kimataifa sisi wakatuita Wamchangani?
Tafuta hela aacha Wivu wa Kisenge kwa Mwanume mwenzako?
Wewe na Fanboys wenzako wa Kilomoni hamuna uwezo wa kushindana na Dewj kumtoa Simba wakati hamuna uwezo hata wa kuichangia Simba kwa kununua Jezi Original musijisumbue.
As long as Wachezaji hawalalamikii mishahara na Makombe tunabeba basi kila la kheri Mo Dewj endelea kubakia Simba.
Nakushauri: Tafuta hela kwanza, ukishazipata ndiyo kamtoe Dewj pale kwa hela ili uichukue Timu na wewe ndiyo uwe Mfadhili utoe hizo bilioni 20.
Ndugu Huwezi kuwa kapuku ikisha unataka ushindane na Dewj, Dewji hashindaniwi kwa Vijembe na Mipasho Bali kwa hela. Weka hela pambana na Dewj, Lakini unaleta mipasho ikisha unataka usikilizwe? Serious?
Yani Wivu wako kwa Dewj ni sawa na uchawi utakuuwa Bure.
Nimesikia na mieKmenuka tena huko, nasikia babu Kagere kamtwanga Vitasa kocha Kishingo
Nan amesema mo kwenye comment yangu acha zakoumesoma uzi huu ukaelewa ? halafu aliyekudanganya kwamba MO anaigharamia Simba kwa hasara ni nani ?
Pole ndugu yangu.Ni kweli kwamba kapuku hana thamani, lakini wakati mwingine umasikini tunajitakia tu , kwa umati wa wanachama na wapenzi wa simba nchi nzima timu hii haistahili kuitwa masikini, kama tutapata oganaiza mzuri mwenye ujuzi na mfia Simba, basi timu hii itaweza kujikimu na hivyo kuondokana na dhiki inayolazimika timu yetu kutumika hata kwenye mambo yasiyostahili kwa vile tu anayeitwa mwenye Simba yake anatumika.
Simba si timu ya kucheza bure , ambapo pamoja na kutangaza bure bado ikakosa watazamaji, hili ililofanyiwa timu ya simba ni aibu inayotufanya sisi wanasimba wengine tuinamishe vichwa chini kwa aibu, mara kadhaa nimejipambanua humu kupinga magumashi kwenye uendeshaji wa timu lakini nimeishia kubezwa na kutukanwa, bali sasa uvumilivu umefika kikomo, Simba irudishwe kwa wenyewe.
hakuna nilipo edit na wala hauja editiwa
Kwi Kwi Kwi
π½π ππππππππ ππππ πππ, πππππππ πππππππ ππππππ ππππππ ππππππ ππππππ ππ πππππππ, ππππππππ πππππππ πππππππ ππππππππKmenuka tena huko, nasikia babu Kagere kamtwanga Vitasa kocha Kishingo