Akiprint jezi laki 5 mara 30000 maana yake ataingiza bil 15
Ukitoa bilion 2 ya simba na labda gharama za matengenezo bilion 6.
Anabaki na faida ya bilion 7 hiyo ni minimum
Mkuu ulisoma shule gani inayofundisha mambo rahisi namna hii?
Yaani wewe umechukulia kuwa hizo jezi VB anazipata bure kabisa.
Unashindwa hata kujua malighafi ya jezi atanunua. Pia kuna gharama za usafirishaji na usambazaji. Achilia mbali kodi kibwena za nchi hii. Pia kumbuka hiyo bei hawezi kuuza yeye ikiwa jezi zitasambazwa kwa mawakala mikoani na kuuzwa kwa wanaouza rejareja.
Halafu umesahau kuwa na mzigo haimaanishi utauzika wote, kuna kuharibika, kupotea, changamoto za kiuchumi kwa wateja, n.k
Pia uuzwaji wa jezi utategemea na utendaji wa timu (performance) kwa siku zijazo. Hapa VB wametake risk kwani ikiwa simba itakuwa na matokeo mabovu uwanjani itakuwa ngumu kwa jezi kuuzika.
Kwa kifupi hiyo bil 7 ya faida hakuna namna anaweza kuipata hata iweje.
Ni kweli atapata faida kubwa maana ndio malengo ya biashara yoyote lakini pia kumbuka hata asipouza bado Simba watapata bil 2 yao tu.
Unazidi kudhihirisha shuleni ulikuwa unakula makamasi tu we utopolo. Matengenezo imekuwa gari mbovu kama Yanga?We pumbu kweli hujui kusoma au? Hiyo bil 7 niliyoandka hapo ya matengenez ni ya matako yako au? Soma kitu kabla ya kukurupuka kujibu ye sio mjinga aingie biashara isiyo na faida
Nani kakwambia hana audited reports??Kampuni kubwa ya vifaa vya michezo duniani Puma atoe bilioni moja kwa mwaka kwa timu kubwa ya mamelodi iliyopo nchi yenye purchasing power kubwa ya afrika kusini.
Mnaongeza sifuri kama wasanii wa bongo fleva, kisha mtudanganye muuza ronya ambaye hana hata audited financial statement nae anatoa bilioni moja kwa mwaka.... mnajua bilioni 1 ni sawa na milioni moja moja ziwe 1000, sasa huyo vunja bei anazitoa wapi hizo hela? Purchasing power ya watanzania unajua ikoje? Ndio maana hao kina puma, nike, adidas hatuwamudu.
mkuu tatizo la tanzania tuna akina kingwangala wengi sana, muda sio mrefu wataanza makelele yao ya kipumbavu na kuvuruga timu mwisho tutarudi kule kule kwa kina kilomoni sijui na vizee vingine vijinga jinga vilivyojaa hapo kariakoo vinacheza bao!Niwakumbushe tu kuwa Mamelodi Sundowns analipwa Rand Million 20 kwa Mwaka ni ni sawa na Rand Million 60 kwa mitatu kutoka Kampuni ya PUMA.
Mamelodi alipomaliza mkataba wake na NIKE hakuongeza tena na alitaka dili jipya lenye maslahi zaidi, hivyo PUMA anawapa sawa na BILLION MOJA kwa Mwaka.
Simba leo wamesaini mkataba na VUNJABEI nadhani ndio mkataba ghali zaidi kwa ukanda huu wa maziwa Makuu na hata kwa klabu za Afrika Kusini baadhi hazigusi mkataba huu mnono.
Simba atapokea BILLION MBILI, kwa miaka miwili ni sawa na MAMELODI ambaye pia anapokea BILLION kwa mwaka, nadhani tumeanza kuelewa thamani ya huu mkataba mkubwa.
Nadhani tumeanza kuelewa maana ya safari za Barbra kwenda Al Ahly na Mamelodi, hao ndio magwiji wa Afrika Kwenye mikataba ya hatari na mikubwa ya kibiashara barani Afrika, bila shaka kuna somo kalipata.
Mkataba huu ni hatarishi kwa SPORTPESA, Sote tunatambua kuwa SPORTPESA ndie Mdhamini Mkuu wa Simba, lakini kwasasa kazidiwa pesa Kwenye vitabu vya Simba kutoka kwa Vunjabei kwa hii BILLION MBILI
Maana yake ni nini? Thamani ya Simba imepanda maradufu, kama Sportpesa watataka kusalia kwa kandarasi mpya baada ya mwanzo kuisha ni lazima waanzie hapo kwenye Billion Mbili, hata Kampuni zingine lazima zianzie hapo kwenda mbele.
Wakati mpira unakuwa na Simba sasa inaenda mbele zaidi, hakuna kampuni itaenda kujadiliana na Simba kiwepesi sasa hivi, hiyo ni kanuni ya soko ELASTICITY OF THE BUSINESS, tayari Simba kuna hatua wamepiga.
Kwa Vunjabei tayari ana soko kubwa sana, anajua kuhusu Mavazi, mwisho hii ni WIN WIN SITUATION.
🤣 Walijua zahera ndio anatambulishwa Simba ScHuyu chinga ameua asisahau na vitu vya nyumbani, condom, electronic viwe msimbazi tupu.
Ila utopolo watakuwa wamenuna sana walipo sikia habari hii
Simba kwenye usili wa taarifa wameweza dah karibia kila kitu hakiwi leaked kipindi hichi🤣 Walijua zahera ndio anatambulishwa Simba Sc
Hivi najiuliza mtu mzima na p*umbu zake anasema eti adida sijui puma sijui nike. hivi mnajua bei za jezi za kampuni hizo. Nendeni mlimani pale jezi 180,000 - 250,000 nani ana ubavu wa kununua hizo. Huoni utatengeneza nafasi ya watengeneza jezi feki kutamalaki.
Simba wameangalia mengi kulingana na kipato cha mtanzania wa kawaida.
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpu.mbavu. Unajua mashabiki wengi wa mpira ni watu wa class gani? Ukilijua hilo huwezi kuandika upuuzi kama huo ulioandika.Kumbe hata kununua jezi ya dollar 80 huwezi
Acha majungu piga kazi
Kwa hiyo kampuni kubwa ya puma unalinganisha na vunjabei!?Niwakumbushe tu kuwa Mamelodi Sundowns analipwa Rand Million 20 kwa Mwaka ni ni sawa na Rand Million 60 kwa mitatu kutoka Kampuni ya PUMA.
Mamelodi alipomaliza mkataba wake na NIKE hakuongeza tena na alitaka dili jipya lenye maslahi zaidi, hivyo PUMA anawapa sawa na BILLION MOJA kwa Mwaka.
Simba leo wamesaini mkataba na VUNJABEI nadhani ndio mkataba ghali zaidi kwa ukanda huu wa maziwa Makuu na hata kwa klabu za Afrika Kusini baadhi hazigusi mkataba huu mnono.
Simba atapokea BILLION MBILI, kwa miaka miwili ni sawa na MAMELODI ambaye pia anapokea BILLION kwa mwaka, nadhani tumeanza kuelewa thamani ya huu mkataba mkubwa.
Nadhani tumeanza kuelewa maana ya safari za Barbra kwenda Al Ahly na Mamelodi, hao ndio magwiji wa Afrika Kwenye mikataba ya hatari na mikubwa ya kibiashara barani Afrika, bila shaka kuna somo kalipata.
Mkataba huu ni hatarishi kwa SPORTPESA, Sote tunatambua kuwa SPORTPESA ndie Mdhamini Mkuu wa Simba, lakini kwasasa kazidiwa pesa Kwenye vitabu vya Simba kutoka kwa Vunjabei kwa hii BILLION MBILI
Maana yake ni nini? Thamani ya Simba imepanda maradufu, kama Sportpesa watataka kusalia kwa kandarasi mpya baada ya mwanzo kuisha ni lazima waanzie hapo kwenye Billion Mbili, hata Kampuni zingine lazima zianzie hapo kwenda mbele.
Wakati mpira unakuwa na Simba sasa inaenda mbele zaidi, hakuna kampuni itaenda kujadiliana na Simba kiwepesi sasa hivi, hiyo ni kanuni ya soko ELASTICITY OF THE BUSINESS, tayari Simba kuna hatua wamepiga.
Kwa Vunjabei tayari ana soko kubwa sana, anajua kuhusu Mavazi, mwisho hii ni WIN WIN SITUATION.
sasa Yanga wanaumiaje?Wa upande wa pili wakisikia hvyo roho zinawaumaa, Yanga mnateseka mkiwa wapiiii.
Unamvaaa mnyama mkali sio?“Nitoe shukrani kwa uongozi wa Simba na kwa Wanasimba. Naamini wamerudisha tumaini jipya kwa vijana wengi. Tunaenda kutengeneza vitu vingi kama jezi, t shirt, cover la simu, miwani, saa za Simba, kofia, soksi, viatu, mabegi na vitu vingi.”- CEO wa Vunja Bei, Fred. #NguvuMoja
Nimependa hii ikiwezekana hadi condoms.
Vunja bei akitengeneza jezi laki 1 kwa sh 25000 kwa mwaka ni sh 2.5 bilioni mwaka wa poli analipa kodi na ktafuta faida. Pia kumbuka vunja bei anatengeneza jina haangalii faida kubwa.Kampuni kubwa ya vifaa vya michezo duniani Puma atoe bilioni moja kwa mwaka kwa timu kubwa ya mamelodi iliyopo nchi yenye purchasing power kubwa ya afrika kusini.
Mnaongeza sifuri kama wasanii wa bongo fleva, kisha mtudanganye muuza ronya ambaye hana hata audited financial statement nae anatoa bilioni moja kwa mwaka.... mnajua bilioni 1 ni sawa na milioni moja moja ziwe 1000, sasa huyo vunja bei anazitoa wapi hizo hela? Purchasing power ya watanzania unajua ikoje? Ndio maana hao kina puma, nike, adidas hatuwamudu.
Wewe ni mpu.mbavu. Unajua mashabiki wengi wa mpira ni watu wa class gani? Ukilijua hilo huwezi kuandika upuuzi kama huo ulioandika.
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ni akili za utopolo kubishana ni matumizi mabaya ya rasilimali muda. Mimi naweza kununulia jezi zote tatu za timu yako ya ulaya (home away n neutral)ukaletewa na DHL nyumbani kwa shemeji yako unapokaa mpuuzi mmoja weweWewe ndio huna hela ng’ombe wewe
Kazi kuja kulilia wanaume hapa
Fanya kazi usipende mteremko
Jifutike dole gumba sema mm kwetu mombasaMpuuzi ni wewe namba moja usiyeelewa kitu ..jipige kifua sema mimi ni hopless
Mafanikio yepi!!???Kama mmeumia kunyweni sumu mfe mbona simple sana..kama unaona habari za mafanikio ya simba zinakuumiza moyo aheri ujitundike
Ushuzi tupuMamayo zako ..hahahah this is simba bogus wewe