Simba inatafuta mchawi

Simba inatafuta mchawi

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
inasikitisha viongozi wa simba wameanza kumangamanga ukipitia blog mbalimbali wanaolaumu tff simba mbovu vijana wanachati mpaka saa nane usiku kweli utafanya mazoezi ya nguvu acheni ujinga tukae tujadili tufanye nini klabu yetu tucheze mpira wa ukweli
 
inasilitisha viongozi wa simba wameanza kumangamanga ukipitia blog mbalimbali wanaolaumu tff simba mbovu vijana wanachati mpaka saa nane usiku kweli utafanya mazoezi ya nguvu acheni ujinga tukae tujadili tufanye nini klabu yetu tucheze mpira wa ukweli

Kumbe mansoorsaid ni Simba.............!
 
inasilitisha viongozi wa simba wameanza kumangamanga ukipitia blog mbalimbali wanaolaumu tff simba mbovu vijana wanachati mpaka saa nane usiku kweli utafanya mazoezi ya nguvu acheni ujinga tukae tujadili tufanye nini klabu yetu tucheze mpira wa ukweli
tutajie hao wachezaj wanaochati mpaka saa nane za usiku wanashindwa kufanya mazoezi tuanze na hao maana hao ndo wanaohujum timu huku phiri akipewa mzigo wa kutafuta mchawi
 
Timu mbovu halafu mnatafuta mchawi!
 
Sababu zinazotolewa hadi sasa

  1. Kuna mkono wa SIMBA UKAWA
  2. Kuna Makundi ndani ya Simba-Cholo ; Kiemba na kUNDI LA WAGENI
  3. Matola anahujumu timu
  4. Matola analewa sana hadi kuharibu dawa
  5. Kaburu ana ugomvi na viongozi
  6. Iddi Pazi anahujumu sababu mwanawe kaondolewa Simba'
  7. Wachezaji wanalogana sana
  8. ..........................................
 
Back
Top Bottom