huna haja ya kulalamika kiasi hicho,bacelona ya leo hapo nyuma ilikuwa c ki2 kwa kukataa ufadhili wa makampun lakin baada ya kubadili mwelekeo wamekua timu bora so kwa simba kufanya hvyo n moja ya hatua kwa maendeleo na kwa mawazo yangu sioni sababu ya kutofanya hvyo.kmbuka tunahtaji maendeleo ktk timu zetu so kwa lolote viongoz wataona lnafaa kwa maendeleo ya tmu acha wafanye!
hawa mabwana pamoja na wengine wenye upeo kama wao hawatakaa waiongoze tff kama nia yao labda mpaka mfumo wa utawala ubadilike na hapo watakuwa vikongwe. Mpira wa hapa unaendeshwa na watu wachache wanaojiita wapenzi ambao upeo wao ni kutumiwa ili matumbo yaingie chochote. Ni ajabu jinsi walivyoukamata mfumo, waliobakia ni washabiki tuTFF wapo bize na Wambura na Malinzi.
hawa mabwana pamoja na wengine wenye upeo kama wao hawatakaa waiongoze tff kama nia yao labda mpaka mfumo wa utawala ubadilike na hapo watakuwa vikongwe. Mpira wa hapa unaendeshwa na watu wachache wanaojiita wapenzi ambao upeo wao ni kutumiwa ili matumbo yaingie chochote. Ni ajabu jinsi walivyoukamata mfumo, waliobakia ni washabiki tu
Wakuu mtanisamehe kidogo, mimi huwa nachoshwa na tabia ya watu wavivu wa kufikiri!
Mtoa mada tuambie hizo jezi za Sunderland, zimeandikwaje kifuani? Jezi za Sunderland huandikwa "Invest in Africa", hupendi hayo maneno au hupendi nini mpaka utoe mapovu yote hayo?
:target:
Kwani kuna jezi za Simba ambazo zimeandikwa "Simba Sc" au "Simba Mnyama"?
Sasa wewe unasaidiwa bado unalalamika..kweli hata wewe hufai kuitwa "great thinker", kuwa JF, hakuna faida kama unapenda kulalamika tu! Toa suluhisho basi..acha kulia kila wakati..:becky:
Nimetembelea kwa "Bin Zubeiry" blog, nimeona mapicha ya Rage na mfadhili wa Simba anajiita "Malkia wa Nyuki", wakitambulisha jezi hizo, rangi ni sawa na rangi ya jezi ambazo Simba huwa wanatumia, "kasor" moja niliyoona..nembo ya timu wametumia ya Sunderland, maneno ya wadhamini hanaya shida sana, kuna "INVEST IN AFRICA" na "KILIMANJARO", kuna mambo ya kufikiria:
-simba watapata mapato kwa kuitangaza Sunderland Fc?
-Je, simba itahitaji kubadili au kuongeza jina Sunderland kwenye jina lake?