Inaniacha mdomo waziDuuuh Simba ni klabu ya wahuni
Unafowad anayefunga tayali ila unamuacha kwa kuleta mwingine aliyekwambia tu atafunga ila hajathibitisha? Huo ni upungufu wa akiliKn fowadi anakuja asipofunga anakatwa dola 500,now tupo kambini moro
hii ni simba sponchi kilabuhuyu atakua ni fisi tu maana simba hawez kuwa na akili kama hizi
Ni kweli, usichofuatilia huwezi tolea maoni.Uliacha kushabikia ila bado inakuumiza kimoyomoyo pole sn mkuu hamia kwa wakimataifa no stress pale kwa mpira wetu wa mchangani
Duuuh Simba ni klabu ya wahuni