PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,098
- 801
Hello wana Jukwaa,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi.
Hivi viongozi wa Simba umakini wenu aliondoka nao Hans Pope kweli cream kama Tshabalala The Captain, the only one & the top in SIMBA Sports Club hadi contract ina freeze viongozi mpo tu?
Hivi ukimtoa Tshabalala pale Simba in terms of Performance & legendary unabaki na nani? Try again anachowaza ni kununua magari na kupaka super black nothing else. Mo hayupo serious mbona team yake imezungukwa na vishoka mtu wa Maana pale ni Magori wengine wote must be disposed, nothing new from them. Tofauti ya Mutale na Try again ni umri tu Wote ni useless in terms of productivity.
Mo kuwa serious Tshabalala ni mboni ya Simba kama anadai semeni tujue kuna wadau ni master plan ili captain wetu apate raha. Tshabalala hapaswi kudai Simba Kwa kazi yake ndani ya Simba ni Mchezaji anayepaswa kupewa kipaumbele ni icon ya Timu yetu.
Nazani Mo utafanya Jambo ndani ya siku mbili hizi Maana Utopolo wameanza kuchombeza kama kawaida Yao.
Jumapili Njema ndugu zangu (goodnight)