Mbwa mambo niaje in advance. Mnyama anashinda leo na sio leo tu hata na RS Berkane anakaa kule kwao.Leo simba ikishinda niitwe mbwa![]()
Leo simba ikishinda niitwe mbwa![]()
BinadamuHadi sasa hivi wewe ni mnyama gani?
Title wame-edit.. Umelazimishwa kuwa mnyama a.k.a SimbaLeo simba ikishinda niitwe mbwa![]()
Pole Sana Mr dog. Kama kawa simba anashindaLeo simba ikishinda niitwe mbwa![]()
Binadamu