Simba ikishinda kesho, makahaba kutoa huduma Bure

Simba ikishinda kesho, makahaba kutoa huduma Bure

Mzee wa kurekebisha

Senior Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
178
Reaction score
170
Ahadi hiyo imetolewa na viongozi wa makahaba wa maeneo ya Buguruni
Kimboka, Sewa , Temeke, Tandika na Sokota. Mwenyekiti wao ambae
alifahamika kwa jina moja la Siwatu aliyasema hayo leo na kunbainisha
kuwa huduma hiyo ni kwa ajili ya washabiki na wachezaji wa simba tu.
 
Sawa mkuu, tutaelekea huko maana ushindi lazima
 
Wabongo kila kitu kuiga walikuwa wapi kabla nigeria hawajaongea?
 
Condom zipo?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ahadi hiyo imetolewa na viongozi wa makahaba wa maeneo ya Buguruni Kimboka, Sewa , Temeke, Tandika na Sokota. Mwenyekiti wao ambae alifahamika kwa jina moja la Siwatu aliyasema hayo leo na kunbainisha kuwa huduma hiyo ni kwa ajili ya washabiki na wachezaji wa simba tu.
mkuu nimekukubali sana inaonekana wewe ni mnunuaji mzuri wa hii makitu maana unamjua mpaka mwenyekiti wa makahaba?
 
Back
Top Bottom