Simba hii ilifikaje semi final? Nashauri mkimbie mechi ya marudiano huko South Africa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Ndo maana shirikisho ni mashindano madogo yaani hakuna bingwa wa nchi yoyote anayecheza haya mashindano ya kitoto

Leo nimetazama mchezo wa Simba dhidi ya Stellenbosch, ni kituko tu ni kama ndondo au mashindano ya Watoto wa shule

Simba inacheza kama haina coach? Timu haijui ikabe vip, ishambulie vip yaani ipo ipo ikitegemea dead balls

Referee kawabeba Simba alikuwa mkali Kwa wapinzani

Yaani ni kama mwamzi aliamua kuwakaba au kuwashika miguu Stellenbosch

Soma Pia: FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Timu ya Simba ni ndogo mno coach alijiuliza akitoka Ahoua angeingia nani kama mbadala

Leo Simba wamepata majeruhi ya Chamou ambaye alikuwa mbadala wa Che maloni na Ahoua nae ameumia, watakosa mchezo wa marudiano,

Hapo tungoje hiyo mechi wacheze akina Chasambi na Husein Kazi😀😃😂

Nawashauri Simba mkimbie mechi ya marudiano
 
Sasa kama wamelala wanaloga uwanja usiku kucha na bado matokeo yakawa ayo ya kusubilia mpaka kigoli cha Asante refa kule ambako wanakwenda bila waganga wao unadhani itakuwaje!
 
Sio Shabiki wa Simba ila Simba anacheza Fainali, Wasauzi ni Wabovu, nadhani safari hii Team nyingi za Shirikisho ni Mbovu.

Simba anaenda kumfunga Msauzi kwao....! Japo Simba ni Mbovu ila hao Wasauzi ni Wabovu kuliko Simba, nimetizama Mechi zao 3, Makundi, robo na hii ya Leo, Wasauzi hawana Maajabu.
 
Lakini ukumbuke mda huo wale walozi watakuwa wameachwa dar🤣
 
Ndo maana shirikisho ni mashindano madogo yaani hakuna bingwa wa nchi yoyote anayecheza haya mashindano ya kitoto

Leo nimetazama mchezo wa Simba dhidi ya Stellenbosch, ni kituko tu ni kama ndondo au mashindano ya Watoto wa shule

Simba inacheza kama haina coach? Timu haijui ikabe vip, ishambulie vip yaani ipo ipo ikitegemea dead balls

Referee kawabeba Simba alikuwa mkali Kwa wapinzani

Yaani ni kama mwamzi aliamua kuwakaba au kuwashika miguu Stellenbosch

Soma Pia: FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Timu ya Simba ni ndogo mno coach alijiuliza akitoka Ahoua angeingia nani kama mbadala

Leo Simba wamepata majeruhi ya Chamou ambaye alikuwa mbadala wa Che maloni na Ahoua nae ameumia, watakosa mchezo wa marudiano,

Hapo tungoje hiyo mechi wacheze akina Chasambi na Husein Kazi

Nawashauri Simba mkimbie mechi ya marudiano
Simba imedominate kila idara kuanzia mechi ya Al masr ugenini mpaka nyumbani pamoja na hii ya leo, sasa sijui mpira unauangalaia kwa namna gani
 
Una uelewa finyu wa mchezo wa soka
 
Back
Top Bottom