Simba hamtoki mechi ya Toto Africans

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
23,544
52,669
Licha ya ushindi wa leo wa kununua baadhi ya wachezaji wa mbao, mechi yenu dhidi ya Toto Africans wana kishamapanda hamtochomoka kwani nina uhakika mtalala kwa mabao 2-0.

Siku hiyo hamtopata hata goli la offside achilia mbali goli la kununua na ndio itakuwa tiketi rasmi ya Ubingwa kwa Yanga.
 
Usiwe mpiga ramli mpira Dk 90
 
Yanga buana, hivo vitoto vyenu yaonesha mmeshavinyeshwa steroid cocktail kwa ajili ya simba, sisi hapo ni kama tunacheza na yanga ma tukionaga kikani, njano au nyeusi huwa tuna hasira sana na hizi rangi hasa kijani na njano, hatupendagi kabisa hizi rangi hivyo ni kurarua tu jezi!!
 
Hata Wachezaji wa AC Milan waliuza mechi yao ya fainali na Liverpool mwaka 2005.

Yanga bhana ... Full uchawi tu.

What a comeback!? Bravo Simba.
 
Licha ya ushindi wa leo wa kununua baadhi ya wachezaji wa mbao, mechi yenu dhidi ya Toto Africans wana kishamapanda hamtochomoka kwani nina uhakika mtalala kwa mabao 2-0.

Siku hiyo hamtopata hata goli la offside achilia mbali goli la kununua na ndio itakuwa tiketi rasmi ya Ubingwa kwa Yanga.
nani kanunua kandambili wewe
 
Kwa hali kama ya leo jins hata kipa wa toto nae anaweza kununuliwa tu maana fedha ya kuhonga ipo hilo mashabiki wa simba msitie shaka kazi itakamilishwa soon
 
Kwani hao toto hawanunuliki? Kama unadhani simba ikifungwa halafu unaongeza dakika nyingi ujue utalia tu. Simba hata kaitaba wangeshinda ila yule refa alikata dakika 4,akamaliza mpira kabla. Hilo toto ndio litapigwa kabisa lishuke daraja maana lipo kwa ajili ya vyura tu kwenye ligi.
 
Yanga mkirudi toka Algeria mtakuwa mnachechemea maana mwarabu atawachomeka nyingi
 
Back
Top Bottom