MTUNZA AMANI
Senior Member
- Jun 2, 2012
- 187
- 21
akuffo kakosa penati na sasa ni mapumziko..
Duuh kila mechi lazima tupewe penati, ila ushindi Upo.
Ruvu shooting wanasawazisha Juma Nyoso anajifunga
Simba1-1Ruvu shooting.Duuh kila mechi lazima tupewe penati, ila ushindi Upo.
Leo upepo si mzuri kwa Simba; lkn kwa vyovyote vile Mungu ataJaaliaRuvu shooting wanasawazisha Juma Nyoso anajifunga
Simba1-1Ruvu shooting.
Naam! Naam!Simba wanapata bao la ushindi Edo boy