Simba dume ila nimekua mnyonge

Unatumia gharama kubwa kufuata mtu kisa unajuana na baba yake,

"Mental slave"


Toka dodoma mpaka mwanza, unapita manyoni, unapita singida, unapita nzega, unapita shinyanga, unapita misungwi, usagara n.k
Kote humo kuna wanawake tena wazuri kabisa na tabia njema, unanga'nga'nia mtu asiyetii amri zako hata kabla hujamuoa why?

Gawaneni maumivu,

Rudi kimya kimya dom,
Upendo zidisha zaidi ya hapo, Then mshitukize kwa kumwambia kuwa hutaki mahusiano ya kimapenzi kati yako na yeye muwe kama kaka na dada tu, then mkaushie usimpigie wala kumtumia sms.

Shwain,

"acha kushikiwa akili, tumia akili na wewe kumtesa na yeye kisaikolojia"
 
kama huna hela tafadhali tafuta hela kwanza baada ya hapo yeye ndo atakutafuta mwenyewe.
 
bado anaakili za kitoto uyo inaelekea samahani ila itakuwa hana time na ww, usipokuwa makini utapata tabu sana.
 
Akufukuzae akwambii toka au akutukanae akuchagulii tusi mkubwa jiongeze uyo ana mambo yake anakuchuza tu akili yako
 
uanaume ni kung'ang'ana.

Simshauri mtu yeyote awe na wewe kimahusiano.

Haiwezekani swala dogo kama hili ulianzishie uzi.

Baba ake aliwakutanisha si umwambie upo mkoani unataka kwenda nyumbani ukambane huko huko?
 
Wanaume siku hizi tumekuwa dhaifu sana.Huyo binti hakupendi mkuu.Piga chini wanawake wengi kitaa sana
 



hebu nipe namba zake nimkanye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…