ZionGate JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 6,370 Reaction score 3,007 Aug 7, 2019 #461 3llyEmma said: Asante mkuu Hizi friend mechi hapo zenj MOLINGA acheze dkk 90 zote kabisa ... sio kwa Matako yale. Maandalizi mema Click to expand... Hahaaa mutu ya congo, hapa nimeamini kamati ya usajili Yanga ni vipofu
3llyEmma said: Asante mkuu Hizi friend mechi hapo zenj MOLINGA acheze dkk 90 zote kabisa ... sio kwa Matako yale. Maandalizi mema Click to expand... Hahaaa mutu ya congo, hapa nimeamini kamati ya usajili Yanga ni vipofu
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,366 Reaction score 161,496 Aug 7, 2019 #462 Sanchez magoli said: Sitaki upate presha za kupanda na kushuka Mimi; huyu mwenzako Shadeeya asha ota sugu Click to expand... Fanya kunitumia jezi
Sanchez magoli said: Sitaki upate presha za kupanda na kushuka Mimi; huyu mwenzako Shadeeya asha ota sugu Click to expand... Fanya kunitumia jezi
Sanchez magoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 4,056 Reaction score 8,549 Aug 7, 2019 #463 Sakayo said: Fanya kunitumia jezi Click to expand... hahaha ole wako usije ukaivaa
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,366 Reaction score 161,496 Aug 7, 2019 #464 Sanchez magoli said: hahaha ole wako usije ukaivaa Click to expand... Jezi ya yanga naachaje kuvaa babake
Sanchez magoli said: hahaha ole wako usije ukaivaa Click to expand... Jezi ya yanga naachaje kuvaa babake
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 12,208 Reaction score 16,660 Aug 7, 2019 #465 Shadeeya said: Tatizo hapa kila mmoja avutie upande wake Mtani. Sababu kama mie naona letu lilifana sana tu. Click to expand... Kwako Mwl kashasha πππ
Shadeeya said: Tatizo hapa kila mmoja avutie upande wake Mtani. Sababu kama mie naona letu lilifana sana tu. Click to expand... Kwako Mwl kashasha πππ
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,719 Reaction score 98,909 Aug 7, 2019 #466 Shadeeya said: Pacha zangu joanah, Clkey mko wapi na Dada yangu Shunie inamaana huu uzi wenu hamjauona eti? π Click to expand... Ndio naona hii pacha Nadhani umeona mwenyewe,sina mengi πππ Bado nakusubiri uhamie nyumbani π
Shadeeya said: Pacha zangu joanah, Clkey mko wapi na Dada yangu Shunie inamaana huu uzi wenu hamjauona eti? π Click to expand... Ndio naona hii pacha Nadhani umeona mwenyewe,sina mengi πππ Bado nakusubiri uhamie nyumbani π
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,428 Reaction score 16,215 Aug 7, 2019 #467 Nilipita Jana maeneo hayo niliwaza ile foleni ya kuingia ndani tungekuwa tunaingia msikitini daaa hallo au kanisani
Nilipita Jana maeneo hayo niliwaza ile foleni ya kuingia ndani tungekuwa tunaingia msikitini daaa hallo au kanisani
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,828 Aug 7, 2019 #468 Mikia FC
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,716 Reaction score 128,403 Aug 9, 2019 #469 joanah said: Ndio naona hii pacha Nadhani umeona mwenyewe,sina mengi πππ Bado nakusubiri uhamie nyumbani π Click to expand... πππ huku huku kwa Wananchi ndio kunanifaa Pacha.
joanah said: Ndio naona hii pacha Nadhani umeona mwenyewe,sina mengi πππ Bado nakusubiri uhamie nyumbani π Click to expand... πππ huku huku kwa Wananchi ndio kunanifaa Pacha.