Nimekuwa na shauku ya kutaka kujua siku ya simba day. Simba anaenda kucheza na timu gani? Naona ukimya umekuwa mkubwa tofauti na siku za nyimba tungekuwa tushajua mpka sasa.
Mpira ushaingiliwa na siasa za kutegeana baina ya simba na yanga.....

Kuna mambo yakuweka siri, lakini hakuna mantiki yoyote ya kuweka siri kwa timu unayokwenda kucheza nayo wakati tayari umeshafanya maandalizi yote ya mechi na kutangaza mpaka viingilio.