Hebu jaribu basi hata kushirikisha ubongo. Ligi imechelewa kuisha na itachelewa kuanza pia. Sasa kuna ulazima gani kuwa tarehe 8 wakati usajili bado unaendelea , jezi mpya bado utatambulisha wachezaji gani. Simba day ipo baada ya kambi ya pre season morocco.