Comment yako inaakisi umri wako na uelewa wako pia,,, viwango hupimwa kila mwaka so kulingana na ufanyaji vizuri wa timu kwa mwaka husika, caf/fifa hutoa takwimu kwa mwaka husika pia.
Kwa hiyo unataka kusema brazil ndo inaongoza kwa sasa kwa soka dunia kwa kuwa wao wamechukua world cup mara nyingi?