Simba anajifua huko Moroco ili kujiandaa kubeba mataji,yeye Haji aendelee na porojo zake ila akae akijua siku zikitimia atafukuzwa kama mbwa mwizi kwasababu wanamjua hana itikadi ya Yanga kafate pesa tu.

Yule FC Platnumz ambaye alipigwa bao 6 na Yanga ndio kawa wa 22? Hivi ni vichekesho kabisa.
Kinachonichekesha zaidi ni kuona nkana kuwa ni klabu bora zaidi kuliko Yanga barani Afrika, Yaani Nkana FC ambaye alinusurika kushuka daraja msimu uliopita wa ligikuu Zambia.😁😁
Mwanachama wa Simba wa kawaida nanjilinji au namtumbo huko umwambie mambo ya cheque saa ngapi atakuelewa?,yeye mwambie Simba inaweza kukosa ubingwa kwasababu ya maandalizi mabovu,au wachezaji awalipwi mishahara hapo unaweza kumvuruga kwa hasira na kumuona Mo mbaya,lakini unamwambia mambo ya Mo ajaweka b20 kwenye akaunti ya Simba wala hawezi kumuona Mo mbaya,yeye anataka timu ifanye vizuri tu,baas.