Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,340
- 6,753
Hilo uliamua wewe na mkeo labdanafasi hiyo ishaota mbawa wamepewa Wanzanzibar. labda wakishinda rufaa yao waliyokata FIFA.
Wewe ni bundiRambirambi ya Mafisango waliyokula ndiyo inawatafuna,mpaka warudishe ndiyo watachukua ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app