Said Bagaile JF-Expert Member Joined Jun 23, 2011 Posts 686 Reaction score 256 Aug 15, 2011 #1 Kampuni ya Mabasi iliyokuwa imeahidiwa Tenda ya Usafirishaji abiria Jijini Dar mara baada ya Uda kuuzwa kwa Simon Group ni ya Idd Simba? Naomba mwenye data za kampuni hii atumwagie hapa jamvini. Tanzania bila Matukio, haiwezekani.
Kampuni ya Mabasi iliyokuwa imeahidiwa Tenda ya Usafirishaji abiria Jijini Dar mara baada ya Uda kuuzwa kwa Simon Group ni ya Idd Simba? Naomba mwenye data za kampuni hii atumwagie hapa jamvini. Tanzania bila Matukio, haiwezekani.