Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,933
- 133,996
Kikosi cha Simba.
Mechi kupigwa saa 10. TBC Taiga na Azam HD watarusha. Kwa hapa JF utakuwa nami msimulizi wako OBS
Updates
Simba Sc 1: Njombe 0
Okwi 28'
HT
Simba 1: Njombe 0
Okwi 28'
Updates
Simba 4 :Njombe 0
Okwi 2,Mzamiru 2
FT Simba 4
Okwi 1
Mzamiru 2
Mavugo 1
Jmosi ijayo mtashuhudia Yanga ikifanywa hivihivi hapahapa na walewale kulekule churani