Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnatuanza wenyewe afu tukiwajibu mnatuita hater
Mwanzo nilikuwa na chuki na hii post mwishoni nimecheka sana very very brave manUkweli usemwe
Simba bado ni klabu yenye mafanikio africa msimu huu kama siku zote kuifananisha na yanga ni dharau
Yanga ni kiteam kidogo sana vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana
1:mabingwa mara 2 mfululizo wa nbc
2:wapo final cafcc
3:wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!
1:kufa kiume cup (mabingwa)
2:kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
3:kombe la inonga kumkaba mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea africa)
Wito wangu yanga waache kujifananisha na simba yenye ma star majina makubwa kama kibu d, kapama,kyombo na mshambuliaji hatari john bocco papaa
Nashauri waige mazuri hayo ya simba
Mafanikio haya🤣🤣🤣🤣Manzoki kuhudhuria uchaguzi
Cup
Nakwambia kwa mara nyingne tena njoo yangaBado ni Giant kwa sbb furaha yenu haifiki kileleni bila kuiongelea Simba...
Mtakua matured kama mtafurahi bila kuihusisha kwny midomo yenu....
Hyo ni ndoto kaka yangu....Nakwambia kwa mara nyingne tena njoo yanga
AahhaaaaaaUkweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.
Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant Simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!
- Mabingwa mara 2 mfululizo wa NBC
- Wapo final CAFCCL
- Wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
Wito wangu Yanga waache kujifananisha na Simba yenye ma star majina makubwa kama Kibu D, Kapama, Kyombo na mshambuliaji hatari John Bocco Papaa.
- Kufa kiume Cup (Mabingwa)
- Kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
- Kombe la Inonga kumkaba mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea Afrika)
Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.
Wakianza we malizaMnatuanza wenyewe afu tukiwajibu mnatuita hater
Najaribu kuwaza. Hivi Yanga wangefika robo fainali CAF champions league na kushika nafasi ya pili kwenye ligi, tungesema msimu kwao umekuwa wa mafanikio au failure? Mwanayanga yeyote aje ajibu hili swali.
Yule mwamba alieanzisha uzi wa takwimu za mayele na kibu nasikia yuko mirembeUkweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.
Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant Simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!
- Mabingwa mara 2 mfululizo wa NBC
- Wapo final CAFCCL
- Wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
Wito wangu Yanga waache kujifananisha na Simba yenye ma star majina makubwa kama Kibu D, Kapama, Kyombo na mshambuliaji hatari John Bocco Papaa.
- Kufa kiume Cup (Mabingwa)
- Kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
- Kombe la Inonga kumkaba mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea Afrika)
Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.
Kwa kweli huo ni uchokozi usio na tijaMnatuanza wenyewe afu tukiwajibu mnatuita hater
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...! Ingekuwa ndio hiyo imeipiga Marumo jana S.A na kutinga fainali,kuanzia hiyo jana mpaka muda huu miji ingekuwa na kelele na mipikipiki fujo mji mzima. Na hapa pangejaa tred zao tu. Lakini ona wenzetu wamefurahia ile jana tu,miji tulivu kabisaUkweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.
Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant Simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!
- Mabingwa mara 2 mfululizo wa NBC
- Wapo final CAFCCL
- Wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
Wito wangu Yanga waache kujifananisha na Simba yenye ma star majina makubwa kama Kibu D, Kapama, Kyombo na mshambuliaji hatari John Bocco Papaa.
- Kufa kiume Cup (Mabingwa)
- Kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
- Kombe la Inonga kumkaba mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea Afrika)
Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.
Mafanikio yote yanaanzaga na ndoto..!!! SI unasikiaga maneno ya DREAM COME TRUE..!Hyo ni ndoto kaka yangu....