Simba au yanga, nani ananifaa?????

Chagua hapa


  • Total voters
    9

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
7,012
Reaction score
5,613
Leo nampokea Aspirin nyumbani kwa mara ya kwanza kabisa, sasa sijui nivae nini? nisaidieni jamani...
 

Attachments

  • makeover 7.jpg
    19.3 KB · Views: 46
  • makeover 2.jpg
    11.3 KB · Views: 48
Lipuli ndio aje tena?

lipuli, watoto toka iringa, enzi hizo utazikuta, tukuyu star, pamba mwanza, mecco, nazarethi ya njombe, sikuizi mpira umechakachuliwa na kina AZAM, MORO UNITED ......
 
lipuli, watoto toka iringa, enzi hizo utazikuta, tukuyu star, pamba mwanza, mecco, nazarethi ya njombe, sikuizi mpira umechakachuliwa na kina AZAM, MORO UNITED ......
Ngoja niwaulize kina shangazi wanambie. Ila hapo kwanza umeipigia kura rangi gani?
 
Vaa kijani ili kama u tofauti na matarajio yake aweze kunywa hata soda kabla hajakimbia.
 
Vaa kijani ili kama u tofauti na matarajio yake aweze kunywa hata soda kabla hajakimbia.
Kweli Lizzy, ngoja nifanye hivo. Ila at the same time mi sitaki aondoke... ndio maana naona na hiyi ya ya kijani nisiitoki haraka...
 
vaa night dress nyepesii, yenye kuangaza kila idara, usivae chochote ndani zaidi ya cheni moja nyembamba kiunoni
 
Halafu nyie ladies bhana, kama unataka kuvaa ili kumvutia yeye ulipaswa kufanya utafiti mapema kujua anapendelea favorite color yake ni ipi, badala ya kuja kutuuliza sisi.
Kama huvai kwa kumvutia basi vaa nguo nzuri ya rangi yoyote itakayokufanya uonekane umependeza.
 
Navaa kwa kumvutia ila nataka iwe imenipendeza pia...
 
Navaa kwa kumvutia ila nataka iwe imenipendeza pia...

Kujua rangi anayopendelea ni vizuri zaidi.
Ingekuwa mi ndo unanidate ningependelea hiyo redi, si unajua tena mambo ya Anfield (YNWA). Halafu na hiyo dress yake iliyoacha mabega wazi ni nzuri maana ni rahisi tu kuichojoa kwa kwenda chini!
 
Kujua rangi anayopendelea ni vizuri zaidi.Ingekuwa mi ndo unanidate ningependelea hiyo redi, si unajua tena mambo ya Anfield (YNWA). Halafu na hiyo dress yake iliyoacha mabega wazi ni nzuri maana ni rahisi tu kuichojoa kwa kwenda chini!
Anfield na YNWA ndio nini? nimechanganyikiwa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…