Abbassalum
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 338
- 177
- Thread starter
-
- #21
Subiri dakika tisini ndizo zenye maelezo kamili mkuu, lazima mkaeKabla ya kupost jitafakari kama akili zimekaa sawa.... kitimu yanga wako vizuri mno.. wana wachezaji wa level za juu... Tukiweka ushabiki pembeni hii game ni ngumu kwetu sema tunajipa moyo tu.. Tuombe tena game hii NGOMA asicheze maana yule ni mchezaji na ni ukweli hatuwezi kumfananisha na LAUDIT MAVUGO...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]simba 3 - 0 Ngaya
Duh!!!Teja baba ako
Utakoma maana hata hela ya kununua huna ndio maana unabweka humuTeja baba ako
Wewee ebu achana na mimi ww acha shobo au unatafuta baasha ufumuliwe marindaUtakoma maana hata hela ya kununua huna ndio maana unabweka humu
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Were acha longolongo hizo goli ulizojitabiria ndio unaenda kupigwa. Kibao kinakugeukia!
Were acha longolongo hizo goli ulizojitabiria ndio unaenda kupigwa. Kibao kinakugeukia!
Leo nna rahaaaaaaaa
Wamefunga ngapi rafikiKabla ya kupost jitafakari kama akili zimekaa sawa.... kitimu yanga wako vizuri mno.. wana wachezaji wa level za juu... Tukiweka ushabiki pembeni hii game ni ngumu kwetu sema tunajipa moyo tu.. Tuombe tena game hii NGOMA asicheze maana yule ni mchezaji na ni ukweli hatuwezi kumfananisha na LAUDIT MAVUGO...
Tuko pamoja mkuu....nakuaminia [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Leo nna rahaaaaaaaa
Simba kameza 2 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]