Mtanipa matokea, siangalii tena game imeshapoteza Mvuto, refa tayari ana matokeo yake nani ashinde.. ila hatufiki popote wanasimba wenzangu, penati ya 9 hii kwenye mechi 14 za ligi
Hizo kumbukumbu zinatakiwa zitunzwe na meneja wa utopolo, sio mimi 🤣🤣🤣Halafu ukitulia nisaidie kujua game ngapi tumecheza bila kupata penalti na timu pinzani kukamilika wiziauti red card kisha tukaibuka na ushindi. 🤣🤣🤣
Umekuja eeh nilijua tu ulikuwa ushajiandaa kucheka naona macho kodoo😂😂
Huyo muigizaji nimeshamzoea.kwani ukisema wewe Yanga utapungukiwa nini, una haja ya kuikana team yako
UmekaonaeeeUmekuja eeh nilijua tu ulikuwa ushajiandaa kucheka naona macho kodoo😂😂
Umesahau mlicho wafanya Namungo eeh !!!
Kila mtu ashinde mechi zake!!!
Hujambo lakini!?
Nani amekuambia hakuna viporo? Ligi ya makundi Shirikisho Afrika inaanza siku kumi zijazoMida ya miamala tunacho shukuru msimu huu viporo hamna.
Itakuwa afadhali mana bila hivyo tutadhalilika Mkuu na mwisho wa siku ile gap ya points kumi yaweza kuwa mara mbili. Teh teh.Nashauri simba wapewe penati kila mechi
Macho kodoo hawaamini !!Uto walikuwa wamejikausha pembeni wanajipa moyo naona penalti imewatoa mafichoni.
Yaani siku hizi ukisema ukweli unahusishwa na Yanga? Ww huoni tunavyobebwa live, mimi sifungamani na mambo yambeleko na ushindi wa dhuluma siwezi kuufurahiakwani ukisema wewe Yanga utapungukiwa nini, una haja ya kuikana team yako
Kuna msimu alishawahi kufungiwa huyu kwa maamuzi yake tata! Tena ilikuwa ni mechi ya simba dhidi ya timu gani sijui ile! Ambako simba ilinufaika kupitia hayo maamuzi yake.Mwamuzi Ahmada Simba anaibeba Simba
Ila ni aibu sana yaani tumegeuka 5imba ngufu mbili (refa) hadi tatu (red card) ile moja imetushinda. 🤣🤣🤣Hizo kumbukumbu zinatakiwa zitunzwe na meneja wa utopolo, sio mimi 🤣🤣🤣