SIMANZI KUBWA:hujafa hujaumbika

Inna Lilah Wainna Ilayhi Raajiuun
 
Inshallah mola atunusuru kaka
Naam.

Ni kweli kabisa Kiongozi. Pamoja ya kuwa sisi binaadam tuna kibri, ni kama vile tumo kwenye usiku wa kiza hatufahamu kitakachotutokea muda mfupi ujao(unaokuja).

Tumepewa pumzi tusioilipia hata kodi lakini bado tunajisahau sana, na inafikia hadi kukufuru wakati inaweza tokea mtihani mdogo tu, kwa mfano mkojo hautoki, ujue kinachofuata hapo ni kutoa haja ndogo kwa njia ya mirija(mipira).

Kiongozi wewe acha tu. Tunahitaji sana kumuomba na kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kila jambo ndani ya maisha yetu ya kila siku
 

Maneno ya busara mno HARUFU naungana nawe kwa kila hali
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…