Sim yangu Samsung J7 inafanya vitu vya ajabu

Sim yangu Samsung J7 inafanya vitu vya ajabu

mchecheto

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
1,532
Reaction score
1,479
Habari zenu waungwana?
Mimi natumia samsung j7.Hivi majuzi imeanza kufanya vitu ambavyo sijazoea.

Simu yangu kwenye screen imejigawa mistari kwa vipande kama vinne hivi horizontally halafu kila kipisi kinawaka waka flan iv ambapo inakua inakera (especially usiku).

Ambaye alisha wahi kukumbwa na hili naomba anijuze alifanyaje tafdhali
 
Back
Top Bottom