Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za usiku huu wanajamvi, natumai mmeshinda salama, wacha nizame kwenye mada....
Niko na tecno y3+ ila kwa bahati nzuri/mbaya katika matembezi yangu naikuta imejiweka sehemu ya camera (yaani kama vile nimeitegesha mwenyewe kutaka kupiga picha).
Hata kama nimeitia lock hujiweka yenyewe, sasa naomba mwenye kujua tatizo ni nini anifahamishe labda kuna setting nimeiweka pasipotakiwa.
Nafikiri nimeeleweka, mwenye maswali aulize kwa pale ambapo hajaelewa.