wataalam wa humu ndo breki. hiv sim ikijilock baada ya kukosea pattern unlock na ikakudai gmail usiyokumbuka unaifunguaje?
wataalam wa humu ndo breki. hiv sim ikijilock baada ya kukosea pattern unlock na ikakudai gmail usiyokumbuka unaifunguaje?
ndg yangu umetumia technical language. nisaidie ufafanuz nini hiyo inafanyikaje.
nashkur sana kwa ushauri. nimepeleka wakaiflash ingawa nilihitaji njia mbadala ya kufanya mwenyewe