Sim inahitajika budget 250

Keben

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
725
Reaction score
178
Rejea title apo juu. Contact 0719103278
 
Nipe 130 nikupe tecno d5 ila ina crack kwenye kioo, Hiyo 120 itakusaidia kwenye mambo yako mengine
 
Nunua huawei y300 bland new tigo shop, tsh 195000, au popote dukani haizidi 220000. Ni smartphone cheap lakini inaoffer karibu kila kitu ambacho ungepata kutoka ktk smartphone za gharama kubwa. Usipende kununua vitu vya gharama kwa bei ndogo mikononi mwa watu unless unauhakika. Cheap is expensive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…