Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania .
Nimekuja kuandika hili baada ya Maoni ya mbunge Mmoja kutoa mapendekezo ya kodi ya kizalendo kwenye Simcard.
Kuna pendekezo la Simcard Tax nilituma serikalini tarehe 31/12/2020.
Nilidadafua vizuri sana kwa kuangalia pembe zote za watu wakipato cha chini cha kati na cha juu.
Nawasilisha