E Enter Passcode JF-Expert Member Joined Mar 1, 2024 Posts 479 Reaction score 962 May 5, 2024 #1 Salaam, Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite) Imenifikia tyr lakini laini hazisomi, wataalamu shida ni nn Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU)
Salaam, Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite) Imenifikia tyr lakini laini hazisomi, wataalamu shida ni nn Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU)
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 4,025 Reaction score 10,489 May 5, 2024 #2 Nenda settings Mobile network Simcard alafu zi turn on
M Mtanzania2020 JF-Expert Member Joined May 23, 2020 Posts 1,022 Reaction score 2,276 May 5, 2024 #3 Hiyo simu ni fake. Ndo zile zilizimwa Tanzania mwaka 2016. Hapo kuna mawili: ipeleke nchi nyingine, au uvunje sheria kwa kubadilisha IMEI
Hiyo simu ni fake. Ndo zile zilizimwa Tanzania mwaka 2016. Hapo kuna mawili: ipeleke nchi nyingine, au uvunje sheria kwa kubadilisha IMEI
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,385 May 5, 2024 #4 It could be LOCKED
E Enter Passcode JF-Expert Member Joined Mar 1, 2024 Posts 479 Reaction score 962 May 5, 2024 Thread starter #5 Edo kissy said: Nenda settings Mobile network Simcard alafu zi turn on Click to expand... Inasomeka ‘no sim card ‘
Edo kissy said: Nenda settings Mobile network Simcard alafu zi turn on Click to expand... Inasomeka ‘no sim card ‘
E Enter Passcode JF-Expert Member Joined Mar 1, 2024 Posts 479 Reaction score 962 May 5, 2024 Thread starter #6 Mtanzania2020 said: Hiyo simu ni fake. Ndo zile zilizimwa Tanzania mwaka 2016. Hapo kuna mawili: ipeleke nchi nyingine, au uvunje sheria kwa kubadilisha IMEI Click to expand... yes itakua fake kabsa maana hata haina bei kabsa
Mtanzania2020 said: Hiyo simu ni fake. Ndo zile zilizimwa Tanzania mwaka 2016. Hapo kuna mawili: ipeleke nchi nyingine, au uvunje sheria kwa kubadilisha IMEI Click to expand... yes itakua fake kabsa maana hata haina bei kabsa
Von Bismarck JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 4,614 Reaction score 10,861 May 5, 2024 #7 Mkuu utajuaje simu imebadilishwa EMI Mtanzania2020 said: Hiyo simu ni fake. Ndo zile zilizimwa Tanzania mwaka 2016. Hapo kuna mawili: ipeleke nchi nyingine, au uvunje sheria kwa kubadilisha IMEI Click to expand...
Mkuu utajuaje simu imebadilishwa EMI Mtanzania2020 said: Hiyo simu ni fake. Ndo zile zilizimwa Tanzania mwaka 2016. Hapo kuna mawili: ipeleke nchi nyingine, au uvunje sheria kwa kubadilisha IMEI Click to expand...
JITU BANDIA JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 3,865 Reaction score 8,717 May 5, 2024 #8 Enter Passcode said: Salaam, Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite), Imenifikia tyr lakini laini hazisomi,,, wataalamu shida ni nn Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU) Click to expand... Unajiita "enter passcode" halafu hujui kwa nini laini hazisomi!?
Enter Passcode said: Salaam, Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite), Imenifikia tyr lakini laini hazisomi,,, wataalamu shida ni nn Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU) Click to expand... Unajiita "enter passcode" halafu hujui kwa nini laini hazisomi!?
Trainee JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 3,031 Reaction score 4,046 May 5, 2024 #9 Duh, pole sana ndugu, na wewe uliyesema ibadilishwe IMEI hebu fafanua sentensi zako hizo maana umenikosha sana
Duh, pole sana ndugu, na wewe uliyesema ibadilishwe IMEI hebu fafanua sentensi zako hizo maana umenikosha sana
E Enter Passcode JF-Expert Member Joined Mar 1, 2024 Posts 479 Reaction score 962 May 5, 2024 Thread starter #10 JITU BANDIA said: Unajiita "enter passcode" halafu hujui kwa nini laini hazisomi!? Click to expand... Hamuwezi kukosa raia kama ww
JITU BANDIA said: Unajiita "enter passcode" halafu hujui kwa nini laini hazisomi!? Click to expand... Hamuwezi kukosa raia kama ww