Hapo kwenye red sijakuelewa!
Itakuwa ni Samsung Galaxy 2 yenye OS Android 4.1 kama kawaida, wasiwasi wangu ni SIM Card, nadhani inatumia zile card ndogo za kukatia. Hizi SIM card zina specs za kuzingatia? niliwahi kununua simu UK nikaja nayo Bongo ikashindikana kuitumia kwenye mtandao pekee wa GSM uliokuwepo, TRITEL kwa sababu ya SIM card compatibility.