Silver spray

Silver spray

luckers

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
64
Reaction score
2
habari naomba kufahamishwa kuwa silver spray ya gar ila ndogo naweza kuipata kwa bei ngap ahsanten
 
Nakurekebisha tena !! error typing = typing error sawa mpwa ?
 
habari naomba kufahamishwa kuwa silver spray ya gar ila ndogo naweza kuipata kwa bei ngap ahsanten

wewe ulitaka uipate kwa bei ngap. kawaulize wahindi wenzio. kiswahili gani hicho. unataka uufundishe umma wa kitanzania kitu gani kama hujui lugha yetu. pusi we.
 
wewe ulitaka uipate kwa bei ngap. kawaulize wahindi wenzio. kiswahili gani hicho. unataka uufundishe umma wa kitanzania kitu gani kama hujui lugha yetu. pusi we.

yashakua ayo bro kama hutaki kucomment its better ungeacha sio kufanya vitu vya ajabu isitoshe ata spray huifahamu
 
3000-3500/=tshs only. Kwenye hardwares or maduka ya vifaa vya magari!
 
Back
Top Bottom