Silly things we cling to

Sawa nyani ngabu tumekusoma
 
Nina Shem wangu bana ilibidi mswaki wake tuuvizie tuutupe. Ulishaisha ukawa umebaki bristles kama kumi na bado anautumia eti kisa aliununua Uganda alipoenda kumtembelea Ex Gf wake. πŸ˜›πŸ˜›
Vita yake ilikuwaje baada ya kutoonekana mswaki wake?
 
Barua ambazo mke wangu alikuwa ananiandikia wakati tunachumbiana......sijui kwanini nilizihifadhi na kuhama nazo kila wilaya!Niliachana nazo miaka michache iliyopita.
 
mi nina diary yangu ya zamani tangu niko secondary nilikuwa naandika humo chochote cha tofauti kinachonikuta katika siku. my first crush nilimuandika humo mpaka alivokuja kuwa boyfriend na safari ya mahusiano yetu yaliyochukua miaka kadhaa mpaka kuachana vyote vipo humo. nilimove on ila mara chache huwa napenda kuisoma na kucheka mambo ya kitoto niliyoyafanya.
 
Only bracelet ipo hadi leo mara moja moja huwa naivaa....

Kwa kweli inanikumbusha mbali....
 
Kumbe wewe Karucee ni demu, ila una akili sana, nimechungulia nyuzi zako ni nzito nzito, basi i love u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah kamdoli ka wizi yaani mmekaiba tokea mwaka 2012 mpk leo bado unachuma zambi tu kukaa nacho.

Maendeleo hayana chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…