Nani mwenye taarifa za huyu Mh? Mbona jimboni hatumuoni? Ni kweli ameamua kuuza kura zetu kwa Magamba?
Tunaomba ufafanuzi juu ya hili maana kunatetesi kwamba baada ya Viongozi wa CDM mkoa kuanza Kumwandalia Mizengwe Sugu ili asigombee kwa hoja ya kutokisaidia chama na elimu yake, taarifa zina sema naye silinde huenda asigombanie nafasi yake kwa kuwa Sugu alikuwa mtu wake wa karibu. Mwenye taarifa tujuze.