Silinde: Mbowe ni msanii majirani zake hawakusikia purukushani zozote za yeye kuvamiwa

Hizi siasa nyepesi hazitawasaidia kitu, kama lengo ni kumwangamiza Mbowe mbinu ziko nyingi. Hizi za kutumia waathirika haziwezi kamwe kutikisa wenye akili.
Mshaurini Mbowe awe smart la sivyo mtaishia kuumizwa na matendo yake. Hata ungemtetea vipi humu JF, najua rohoni huridhishwi na mienendo yake.
 
Yuda Iskarioti kamwe hakunufaika kwa vipande vya fedha alivyopewa na wenye mamlka ili afanye usaliti, alijikuta akimsaliti mwenye haki huku akiwanufaisha wale waliomshawishi na kumtuma, lkn fedheha aliyoipata iliishia kufa kifo cha aibu.
 
Mbunge wa Chadema aliyehamia CCM David Silinde amesema yeye amekulia Chadema na anazijuwa propaganda na mbinu zote za chama hicho kinapotafuta huruma ya wapiga kura.

Mbowe ni msanii kama angevamiwa kweli majirani zake wangekuwa mashuhuda amesisitiza Silinde

Ndipo akasimama mbunge mwanamama ambaye ni jirani kabisa na wa Mbowe akadai siku hiyo alikuwa macho hadi saa 7 usiku na hakusikia chochote mlangoni kwa Mbowe.

Mbunge huyo amesema kwa kawaida Mbowe akiwa anakunywa na rafiki zake au kufanya party huwa anasikia kila kinachoendelea lakini usiku wa juzi palikuwa na utulivu kabisa bila tafrani yoyote.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Itakuwa alilewa sana akawa anawaza jinsi Waitara alivyomuumbua juu ya mkopo hewa. Matokeo yake akateleza.
 
Wanasiasa bwana...

Hawa wanasema pumba hawa wengine wanatumia pumba zilizosemwa kuwadanganyia waliosema pumba.

Pumba juu ya pumba... ndiyo shibe yenu wazee kazaneni.
 
Jamaa baada ya kuhama na ubunge wake kwenda ccm, akili yote imehama.huyu mpaka sasa anatuibia kodi zetu hakutakiwa kuwa bungeni
 
Mtu yeyote anayenunulika ni lazima awe na upumba.vu wa namna fulani. Mtu mzima mwenye akili timamu huwezi kukubali kununuliwa.

Hawa wabunge walionunuliwa kama vitumbua siyo watu wa kusikilizwa kama tunavyowapuuza wale wenye uwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu silinde kama chama chake kipya hakita mpitisha kwenye kura za maoni kutetea ubunge atafanya nini ? Vijana wa dogo kama silinde hupaswi kunyea kambi maana bado ana safari ndefu ktk maisha kama mungu atamjalia uhai
 
Kamanda Muroto aanze na huyu mama katika ile wanaita "kuisaidia polisi"
Kwani huyo mama ndo kampiga? Ukiwa jirani na Mbowe akiumia unaulizwa jirani?

Aulizwe huyu hapa Mbowe hajaumia nyumbani kwake.
JamiiForums1171215835.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom