Silinde Ernest David: Mtazamo wangu kuhusu Tundu Lissu kama rais wa TLS

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Anaandika Silinde Ernest David.
MTAZAMO WANGU KUHUSU RAIS AJAE WA TLS Mhe. TUNDU LISSU!!

Kila mtu Lissu, Lissu, Lissu!! Tundu Lissu Sasa(TLS),

1. Lissu atashinda kwa sababu ana sifa, vigezo, uwezo, jasiri na weledi katika sheria.
2. Lissu atashinda kwa sababu serikali kupitia waziri wa sheria mhe mwakyembe kumpigia kampeni kwa kumpinga ili kulinda maslahi ya serikali bila hoja zenye mashiko.
3. Lissu atashinda kwa sababu polisi wamekuwa wakimfanyia kampeni kwa kumkamata mara kwa mara.
4. Lissu atashinda kwa sababu muhimili wa mahakama hautaki kuingiliwa.
5. Lissu atashinda kwa sababu wanaopiga kura ni mawakili wasomi hakuna mjinga hata mmoja yani hawawezi kuburuzwa.
6. Lissu atashinda kwa sababu ya tishio la kuifuta TLS hivyo wanataka kuona mwisho wake.
7. Lissu atashinda kwa sababu ya tishio la Mhe Rais kutokuteua majina ya mapendekezo ya majaji kutoka TLS endapo mtu wa aina yake atashinda urais.
8. Lissu atashinda kwa kuwa ana VYETI HALALI...

Umaarufu wa TLS umeongezeka mara dufu baada ya Tundu Lissu kugombea nafasi ya urais wa chama hicho cha wasomi nchi.
View attachment 482321
 
Lissu akishinda, DAB atajiuzulu ukuu wa mkoa. Heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Back
Top Bottom