Silinde aibua ufisadi mwingine, ataka tume iundwe

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318
Mbunge wa Momba, David Silinde akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma leo.

 
Ufisadi ni kama mizizi ya mbuyu ili ufisadi upotee lazima tukate mbuyu wote
 
KAMA VP HIYO CAPITAL GAIN TAX WANGELIPA HATA NUSU AU ROBO BASI ILI TWENDE SAWA!!!!!!
 
Back
Top Bottom