ichenjezya
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,010
- 1,119
PassoNi gari aina gani?
Nahtaji some hints kutoka kwa wazoefu kwanza,gereji zetu hizi za fundi Rashidi hachelewi kuanza kufungua injini ili atafute tatizo....tunawajua hao wazee wa nyundo!Nenda gereji utaua gari
Transmission sensor chief! Itakuwa imeingia maji
Okey...kwanza nifanye hivyoHamna shida mkuu ni hitilafu za Umeme, inaonekana kuna baadhi ya nyaya zimegusa maji, tafuta Fundi Umeme.
Si umesema ni paso?kama ni namba C basi achana nayo nunua garu nyingiine tuu.itakuwa imeisha muda wa matumizi

Tatizo la mafundi wetu huwa hawaji hapa labda mwalimu waoWadau habari,
Jana nimekatiza sehemu kuna dimbwi la maji mengi sana kutokana na haya ma mvua yanayoendelea,nikapambana nami nikapita baada ya kuona wenzangu nao wamepita...
Sasa baada ya kupita baada kama ya masaa matano hivi naona kwenye dashboard taa ya OD on/off inawakawaka na hata nikibadilisha gia lever kwenda P,R,D N n.k zile alama hazionekani kwenye dashboard,lakini gari inatembea vizuri na gia nazisikia zinabadilika,na kama narudi reverse naweza engage R lakini kale ka mlio ka (ti ti ti....)kanakoliaga ukiwa unarudi rivasi hakalii ila gari inarudi nyuma vizuri tu,nimekuja kuomba ushauri huenda ni nini maana najua hapa kunawezakuwa na mafundi au watu wazoefu,nataka nijue tatizo ni nini kabla sijaipeleka garage kwa hawa mafundi wetu wazee wa kukisia ili nisiingie hasara sana!
Wadau habari,

Namba D...ila ushauri wako umekaa kikawaida sana chief ndio maana nikaja hapa najua kuna watu huenda imeshawatokea...it would be better kama ungepita tu kama wewe sio mzoefu,inaonesha wewe ndio wale gari ikipata pancha anaenda kununua nyingine,am sorry for saying that..thanks
ile sensor ya selector imeleta shida iyoWadau habari,