Silielewi hili gari leo

ichenjezya

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
1,010
1,118
Wadau habari,

Jana nimekatiza sehemu kuna dimbwi la maji mengi sana kutokana na haya ma mvua yanayoendelea,nikapambana nami nikapita baada ya kuona wenzangu nao wamepita

Sasa baada ya kupita baada kama ya masaa matano hivi naona kwenye dashboard taa ya OD on/off inawakawaka na hata nikibadilisha gia lever kwenda P,R,D N n.k zile alama hazionekani kwenye dashboard,lakini gari inatembea vizuri na gia nazisikia zinabadilika,na kama narudi reverse naweza engage R lakini kale ka mlio ka (ti ti ti....)kanakoliaga ukiwa unarudi rivasi hakalii ila gari inarudi nyuma vizuri tu,nimekuja kuomba ushauri huenda ni nini maana najua hapa kunawezakuwa na mafundi au watu wazoefu,nataka nijue tatizo ni nini kabla sijaipeleka garage kwa hawa mafundi wetu wazee wa kukisia ili nisiingie hasara sana!
 
Nenda gereji utaua gari
Nahtaji some hints kutoka kwa wazoefu kwanza,gereji zetu hizi za fundi Rashidi hachelewi kuanza kufungua injini ili atafute tatizo....tunawajua hao wazee wa nyundo!
 
Hamna shida mkuu ni hitilafu za Umeme, inaonekana kuna baadhi ya nyaya zimegusa maji, tafuta Fundi Umeme.
 
Si umesema ni paso?kama ni namba C basi achana nayo nunua garu nyingiine tuu.itakuwa imeisha muda wa matumizi
 
Namba D...ila ushauri wako umekaa kikawaida sana chief ndio maana nikaja hapa najua kuna watu huenda imeshawatokea...it would be better kama ungepita tu kama wewe sio mzoefu,inaonesha wewe ndio wale gari ikipata pancha anaenda kununua nyingine,am sorry for saying that..thanks
Si umesema ni paso?kama ni namba C basi achana nayo nunua garu nyingiine tuu.itakuwa imeisha muda wa matumizi
 
Wadau habari,
Jana nimekatiza sehemu kuna dimbwi la maji mengi sana kutokana na haya ma mvua yanayoendelea,nikapambana nami nikapita baada ya kuona wenzangu nao wamepita...
Sasa baada ya kupita baada kama ya masaa matano hivi naona kwenye dashboard taa ya OD on/off inawakawaka na hata nikibadilisha gia lever kwenda P,R,D N n.k zile alama hazionekani kwenye dashboard,lakini gari inatembea vizuri na gia nazisikia zinabadilika,na kama narudi reverse naweza engage R lakini kale ka mlio ka (ti ti ti....)kanakoliaga ukiwa unarudi rivasi hakalii ila gari inarudi nyuma vizuri tu,nimekuja kuomba ushauri huenda ni nini maana najua hapa kunawezakuwa na mafundi au watu wazoefu,nataka nijue tatizo ni nini kabla sijaipeleka garage kwa hawa mafundi wetu wazee wa kukisia ili nisiingie hasara sana!
Tatizo la mafundi wetu huwa hawaji hapa labda mwalimu wao
 
Umeshajaribu bonyeza button yake apo kwa gear shift kuizima,

Labda mtu aliigusa bahati mbaya
Wadau habari,
Jana nimekatiza sehemu kuna dimbwi la maji mengi sana kutokana na haya ma mvua yanayoendelea,nikapambana nami nikapita baada ya kuona wenzangu nao wamepita...
Sasa baada ya kupita baada kama ya masaa matano hivi naona kwenye dashboard taa ya OD on/off inawakawaka na hata nikibadilisha gia lever kwenda P,R,D N n.k zile alama hazionekani kwenye dashboard,lakini gari inatembea vizuri na gia nazisikia zinabadilika,na kama narudi reverse naweza engage R lakini kale ka mlio ka (ti ti ti....)kanakoliaga ukiwa unarudi rivasi hakalii ila gari inarudi nyuma vizuri tu,nimekuja kuomba ushauri huenda ni nini maana najua hapa kunawezakuwa na mafundi au watu wazoefu,nataka nijue tatizo ni nini kabla sijaipeleka garage kwa hawa mafundi wetu wazee wa kukisia ili nisiingie hasara sana!
 
I like this answer. You are smart

Namba D...ila ushauri wako umekaa kikawaida sana chief ndio maana nikaja hapa najua kuna watu huenda imeshawatokea...it would be better kama ungepita tu kama wewe sio mzoefu,inaonesha wewe ndio wale gari ikipata pancha anaenda kununua nyingine,am sorry for saying that..thanks
 
Wadau habari,
Jana nimekatiza sehemu kuna dimbwi la maji mengi sana kutokana na haya ma mvua yanayoendelea,nikapambana nami nikapita baada ya kuona wenzangu nao wamepita...
Sasa baada ya kupita baada kama ya masaa matano hivi naona kwenye dashboard taa ya OD on/off inawakawaka na hata nikibadilisha gia lever kwenda P,R,D N n.k zile alama hazionekani kwenye dashboard,lakini gari inatembea vizuri na gia nazisikia zinabadilika,na kama narudi reverse naweza engage R lakini kale ka mlio ka (ti ti ti....)kanakoliaga ukiwa unarudi rivasi hakalii ila gari inarudi nyuma vizuri tu,nimekuja kuomba ushauri huenda ni nini maana najua hapa kunawezakuwa na mafundi au watu wazoefu,nataka nijue tatizo ni nini kabla sijaipeleka garage kwa hawa mafundi wetu wazee wa kukisia ili nisiingie hasara sana!
ile sensor ya selector imeleta shida iyo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom