ichenjezya
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,010
- 1,118
Wadau habari,
Jana nimekatiza sehemu kuna dimbwi la maji mengi sana kutokana na haya ma mvua yanayoendelea,nikapambana nami nikapita baada ya kuona wenzangu nao wamepita
Sasa baada ya kupita baada kama ya masaa matano hivi naona kwenye dashboard taa ya OD on/off inawakawaka na hata nikibadilisha gia lever kwenda P,R,D N n.k zile alama hazionekani kwenye dashboard,lakini gari inatembea vizuri na gia nazisikia zinabadilika,na kama narudi reverse naweza engage R lakini kale ka mlio ka (ti ti ti....)kanakoliaga ukiwa unarudi rivasi hakalii ila gari inarudi nyuma vizuri tu,nimekuja kuomba ushauri huenda ni nini maana najua hapa kunawezakuwa na mafundi au watu wazoefu,nataka nijue tatizo ni nini kabla sijaipeleka garage kwa hawa mafundi wetu wazee wa kukisia ili nisiingie hasara sana!