Mie nilijua nanilii.....kumbe vipuri
Silaha???? Fafanua kidogo... Sime, bunduki, bastola, mkuki, rungu, nyambizi, kifaru cha kivita, grenade.....??
usichanganye watu, sema siraha gani kama hospitari uonyeshwe, kama polisi uende ukaelekezwe.
Kifaru kamanda......
Namiliki silaha ndogo ambayo imekuwa na mushkeli siwezi tena kuitumia na vipuri havipatikani. Nikihitaji kununua silaha mpya je nitatakiwa kufanya maombi upya ili nipatiwe leseni mpya ya umiliki?!
Nenda makao makuu ya chadema wananunua kwa ajiri ya RED BRIGADE
Mie nilijua nanilii.....kumbe vipuri
Nazungumzia Beretta 9.0 mm,16 rounds.