Silaha ya mwanamke ni ipi?

Calm down he's just maintaining his freedom of speech
I am also exercising my freedom of speech.

Man are so arrogant and full of themselves . They think so lowley of women. It's not right to just utter stupidity just because you can. This man in particular is a mediocre who can not think beyond his penis.
 
Silaha ya m.mke

= Maneno makali
= Mwili wake/uzuri
= Kwenda kwa waganga
=Kukumia akili ya m.me mwenzako upambane nae bila wewe kujua
=(kusali kwa wanawake waliozaa au kuwa na familia kwasabab ya kuelemewa na changamoto zetu za mitungi daily)
=
 
Inazungumziwa mke kwa mmewe..sio mama kwa mtoto wala baba kwa mtoto.elewa tofauti.Kama hvyo basi baba nae anafanya mengi sana kuanzia mimba kuvumilia vimbwenga mpk mtoto yuko chuo...ila ktk mahusiano mwanamke ana offer nn kwa mmewe?...
 
Wakati nikiwa mdogo kila ninapopiga chafya kaka yangu alikuwa anasema "wa mtoto wa mkubwa biashara " nilipokuwa nikamuuliza kaka ulikuwa unamaanisha nini akasema. "Uchi wa mwanamke"
Hahahaaa. Ndio silaha yake?
 
Nimekuelewa sasa. Lakini unadhani ni kila mwanamke ana ushawishi?
 
Hata ushauri hawezi hata kukupikia chakula...akakuhudumia ukiwa MGONJWA... akakutia moyo na kukuonea huruma..

Mwanamke Ni zaidi ya papuchi...Ila wanaume wengi KWAKUWA wanawaza ngono KILA muda..huwa na mawazo yako.
Ni kweli kabisa Credit
 
Inazungumziwa mke kwa mmewe..sio mama kwa mtoto wala baba kwa mtoto.elewa tofauti.Kama hvyo basi baba nae anafanya mengi sana kuanzia mimba kuvumilia vimbwenga mpk mtoto yuko chuo...ila ktk mahusiano mwanamke ana offer nn kwa mmewe?...
aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…